Pages

Ads 468x60px

Labels

Saturday 20 April 2013

SAYARI TISA NDANI YA MAISHA YENU

 Sayari ni mfumo mama wa nyota zote au matabaka yote ya nyota tuamini binaadamu ni sora syestem yani ni mfumo wa jua na sayari zake kwahio banadamu ni mfumo kamili wa soler system katika elimu ya sayari tuna pata sayari tisa saba kubwa na mbili ni matawi ya kisini na kaskazini mwajua.(1)Nazo ni jua{SUN}au surya au shamsi.Sayari hii ni baba ktk sayari zote 9 na huwakilisha ufalme utajiri kiburi ukubwa utashi mkubwa wa nchi au familia asili yake ni moto rangi ni ya orange au nyekundu isiyo iva na rangi ya dhahabu jiwe lake ni hakiki na madini yake ni dhahabu na mafusho yake ni sandarusi na siku yake ni jumapili.Soma zaidi ktk nakala ya sayari ya SUN.2.Pia kuna sayari ya MOONau mwezi au chandra au qamaria nisayari mama katika unajimu huwakilisha malkia mama akili hisia nyumba faraja ya ndani,bahari,mziwa,nasekta ya bahari na mahoteli,nguo,sayari hii ni baridi na tulivu na asli ni maji na rangi yake ni nyeupe mafusho yake ni meupe na siku yake ni juma tatu.madini yake ni fedha na jiwe lake ni lulu soma zaidi kwenye mada ya MOON.3.Sayari nyingine ni MARS au marihi au manglasayari hii ni moto mwekundu nisayari kali katika sayari zote pia ni sayri za vurugu huwakilisha ujasili mdogo ndugu na dada  vikosi vya silaha kesi vurugu polisi makamanda wanaume katika nafasi ya juu,uhandisi metal,mawakala wamaji yasiyo hamishika rangi yake ni nyekundu madini yake ni shaba nyekundu au chuma jiwe lake ni matumbawe siku  yake ni jumanne mafusho yake ni kisti  .4.Sayari yaMERCURY au ataridia au sumbula au budha.Nisayari inayohusika na akili maarifa hotuba sayansi na teknolojia na elimu namatibabu wajomba na wajawazito.sayari yake ni ya kijani siku yake jumatano mafusho yake ni kachili na madini yake ni shaba jawe lake ni zamaridi.5.Sayari ya JUPITER aumushtaria au baharaspati au guru.Nisayari inayo husiana na amani utulivu makuhani wa dini imani amitume na wanazuoni wa dini mahekalu na misikiti utafiti wa sayansi na matabaka ya majaji.rangi yake ni manjano au pinki au nyeupe au zambalau madini ni fedha au dhahabu jiwe lake ni yakuti ya njano.Mafusho yake ni kafruu na siku yake ni alhamisi soma zaidi kwenye sayari ya jupiter.6.VENUS au zuhura au shukra  ni sayari yainayo wakilisha hisia za mapenzi wanawake mke urembo ndoa mahusiano urafiki ngono sanaa muziki pesa baa maeneo ya kamari na bahati nasibu.rangi yake ni kijani kibichi ,nyeupe,madini yake ni shaba ya njano na fedha mafusho yake ni mushtakaa na jiwe lake ni almasi.siku yake ni ijumaa.7.SARTURN au zohari au shani ni sayari inayo husiana na kazi ngumu huzuni kukata tamaa vikwazo giza uchawi kutokukamilika ubaya wazee watumishi wangazi za chini manispaa maji taka ,Rangi yake ni bluu iliyo koza na nyeusi na kijivu madini yake ni chuma jiwe lake ni bluu ya kuti mafusho yake ni miatsaila au ambari nyeusi siku yake ni jumamosi.8.RAHU au kichwa au dragoni head node amerka.Ina wakilisha wageni nje ya nchi ,safari za nje,uhandisi na biashara za ufundi na moshi wazee na wahenga wizi kamari na kunywa na mambo mabaya.Rangi yake ni nyeusi madini yake ni chuma au bati madini yake ni gomethi haina siku maalum japo hukaa na jua na tabia ya satani mafusho ni ambari.9.Sayari ya KETHU au dhambi audragoni  tail afrika node inawakilisha wazee pia inafanya biashara ya kiufundi ushirikina na umeme rangi yake ni udongo au kahawia jiwe lake ni cat eyes madini ni bati au chuma mafusho yake ni kist au miatsaila haina siku maalum ila ni watoto wa sun na moon japo tabia ni ya satarn na mars.Elimu hii ni sayansi tosha lakani tumeiongelea kwa ufupi. ilatutakuwa tuna waletaa makala ya kila sayari na nyota

0 comments:

Post a Comment