Pages

Ads 468x60px

Labels

Monday 22 April 2013

SAYATI YA MOON NA MATOKEO YAKE

                        Moon au mwezi au chandra ni sateliti ya asili katika soler syestem pia nisayari mama katika mlolongo wa sayari 9 za kinajimu.

   mwezi ni mfumo wa kitovu na tumbo katika mfumo wa mwili wetu pia mwezi.Sayari hii ni baridi na tulivu na asili yake ni bahari na maji na ina rangi nyeupe na tulivu. Sayari hii huchukua siku 21/2 kutembekea kila nyota ktk nyota 12 na huchukua siku 28 kimaliza ishara zote.pia hukaa kwenye kila kituo au constellation au manzili siku 13 kwa kila manzilina hukaa siku 360 kumaliza manzili zote 27 mpaka 28.Na hukaa siku 4 kwa kila pada moja ya kituo alichopa.

        Sayari hii huu usika na bahari,maji,ni mama na ni malkia wa sayari zote huu sika na akili kupevuka kukua kitunza ridhiki ,rutuba,hisia za akili  hutoa nguvu kihisia na kiakili na hukuza nishati iliyo wekwa na sun .moon hutawala hedhi  mayai ya uzazi na maji maji yetu ya mwilini uzazi ,utasa anemia,homa magonjwa ya mapafu.

           Sayari hii huu  usika pia na chakula maji nyumbani wazazi wakubwa wa familia utukufu rasilimali mapambo hoteli fadha majukumu ya nyumba mafanikio ya uongozi wanawake kuwa na nguvu elimu yenye kuzunguka.

        Sayari hii hutoa sumu mbaya ya sayari zingine huyu ndiyo husapoti ndoto na bahati yako na safari zako na hutupa uhai kwani maji ni uhai na niulezi kwani .sayari hii ni mama yetu baada ya bwana jua kutujanga mwezi unatulea kusapoti nishati ya jua

         Sayari hii ni ya watu wanyota ya cancer au kaa waliozaliwa tarehe juni 22 na julai 22 na watu walozaliwa tarehe 2,11,20na 29 ya mwezi wowote na watu waliozaliwa mwezi februalyn na watu wenye herufi za b,k,t au watu wenye mlima wa moon au mchangano mzuri wa moon ktk kiganja ni mlima uliopo chini kabisa ya kidole kidogo chini kabisa au watu walio na maumbile ya maji au kaa au moon.

           Sayari hii huweza kusaidia kila mtu ikiwa ni rafiki ata kupa manu faa ikiwa ni adui atakudhuru na ana weza kuwa katikwakati

                         UHUSIANO WA MOON NA SAYARI ZINGINE

Moon rafiki ni 1 .Sun; huleta mafanikio ya kikazi hukupa mji wako mwenyewe 

                             humpa mume mke au hupa mtu faida za biashara na mafanikio ya uongozi wake na biashara zake baba kuwa karibu na familia yake nafaida kubwa na ujenzi wa mji.

                        2.Mercury;humpa mtu safari za masomo na biashara mtu kuwa maarufu kwa taaluma yake biashara kuzaa matunda ,kufaulu mitihani kusaisiwa na mtu mkubwa kupata msaada wa jabo lako pia hata elimu na ukubwa.

  Moon maadui ni .1 Venus;hutoa madhara kwenye biashara maradhi kwa watoto kuvurugika kimapato na mategemeo japo bado hutoa utajiri pia kutokufanyikkisha matumizi mazuri ya familia

                          2;Saturn;hutoa mikwamo ya kimaisha  kimali kufirisika na kutokuwa na maendeleo jengo lako kukwama na kusimamishwa kazi ridhiki ya tabu kusimamishwa kazi na kutopata safari na kazi.

                       3 ;Mercuri hasi;hutoa maradhi kwa mama kuuguza familia na wazazi mke au watoto kudhulumika  .

                     4;Kethu au pluto hutoa hasara ya mapenzi wazazi kutengana kufukuzwa kazi na ufalme kuanguka familia kukosa malezi bora kwa baba au wazazi lawama za wazee juu yako nk.

Moon neutro ni 1;Mars hutoa mali utafutaji uzazi mimba mali na ustawi na mafanyikio ya kimaisha.

                          2;Jupiter hutoa safari za kielimu na kazi na ukarimu na utulivu nautowaji sadaka msaada wa mungu na malengo kutimia.pia hutoa maradhi ya kinyota na uzazi kama tumbo nk.

                        3;Venus chanya hutoa mali fadha mikopo utunzaji matumaini mapy baada ya dhiki mipango mipyaa kurudishwa kazini kufikiriwa upya

                      4;saturn hasi hutoa ndoa mapenzi hisia na kuhusiana na ndugu jamaa au mke pa ni wakati wa raha.

                      5;Rahu huleta faida na mapenzi mapya.

                   MARADHI YA MOON KINYOTA

      Moon ana weza kuwa na maradhi anapo kutana na jupiter au kethu au sayari adui hupata . Baridi kichomi magonjwa ya kifua mafigo tumbo hedhi  uteras mania mwendo macho kwa wanawake au jichola kushoto kwa wanaume au kuongezeka kwa dosha kapha na pita kiasi na kupungua ka dasha vata na vidonda vy tumbo na asidi na gesi na miguu ganzi na mikono pi chango la kike au kiume. 

                      ZIADA KUHUSU MOON

                                      siku yake ni jumatatu mchana naalhamisi usiku

                                             rangi yake ni nyeupe lain au hariri

                                                mafushi yake ni ubani maka

                                                   jiwe lake ni lulu

                                                     madini ni fedha

                                                        mwelekeo ni kaskazini mashariki

                                                        jina lake ni ya arhamani ya al rahiim

                                                           kikristo salam malia......

                                                              malaika wake ni jibril au gabriely

          

0 comments:

Post a Comment