Pages

Ads 468x60px

Labels

Saturday 20 April 2013

UNAjiMU WA NYOTA

unajimu wanyota nielimu pana katika maisha  ni sayansi inayo husiana na uhusiano wa mwenando wa anga yani ulimwengu sayari nyota na ishara za maumbo na maisha ya viumbe hai elimu hii kisayansi huitwa ASTROLOGY yaani elimu ya anga na viumbe alimu hii haina tafauti sana na elimu ya ASTONOMY tofauti yake elimu hii  ya utabiri inausiana na nyota namfumo wake na maisha ya viumbe hai kiujumla na elimu ya anga inahusiana na nyota na mfumo wake pekee elimu hii kisanskiti huitwa JYOTISHA                                                                                                                                                                                          

0 comments:

Post a Comment