Pages

Ads 468x60px

Labels

Saturday 20 April 2013

UNAJIMU{ASTROLOGY} MAANA

Unajimu nielimu ya sayansi inayo husiana na anga na viumbe hai. Elimu hii hukubalika na watafiti wa najum huweza kueleza mfumo mzima wa maisha yetu na anga kwa ujumla.Pia hutupa nguvu na uwezo wakutatua matatizo yetu .Elimu hii kwa kisanskiti huitwa JYOTISHA yaani ni mwanga wa miguni ndani ya maisha au mwili wetu. elimu hii imegawanyika katika makundi mbalimbali ambaayo ndani ya blogi hii utayapata na utajifunza mambo mbalimbali ya husianayo na nyota kiujumla.tutajifunza jinsi ya kutabiri mambo mbalimbali ikiwapo zodic mundane horaly siri ya viganja vyennu sayari rangi madini maumbo tiba za kinyota nk

0 comments:

Post a Comment