Pages

Ads 468x60px

Labels

Sunday 21 April 2013

SAYARI YA SUN

  Leo tuta ongelea sayari ya SUN au jua au surya ni sayari baba katika mlolongo wasayari zote ktk unajimu .sun ni moto na ni moyo wa mfumo wa soler syestem .Kwani sun hupeleka nishati kwenye sayari zote na moyo hupeleka nmishipa na damu kwenye sehemu zote zamwili najua hukimbia kwa kila nukta na nyuzi kwa kila sekunde na moyo hupiga kwa kila sekunde.
             Sun huchukuwa  siku 360 kukamilisha mzunguko wa nyota zote 12 na hukaa ktk kili nyota siku 29 mpaka 30 kutokana na mwandamo.Narangi yake ni ya machungwa au gold au njano kali iliyi iva upande wake ni mashariki sayari ni ya kiume .
        sayari hii inahusiana na nguvu kubwa  moyo nishati kiburi ujasiri na bahati kwa kila mmoja safari za utafutaji kwa wanaume,utajiri,ufalme,utu hekima na mafanyikio ,ni wafalme,viongozi baba ,wasanii,jeweres, jeshi kubwa,humfanya mtu mshindi ktkt maisha yote kama hata asilika na nishati mbaya ya sayari adui.Uwezo mkubwa wa akilli na hisia za kweli na majukumu juu ya wengine.
       Iwapo sayari hii ita asilika na sumu humfanya mtu kuwa na kiburi ,jeuri ,udiktete,majivuno kukosa vita lity, matatizo ya akili,na maradhi ya tokanayo na sayari hii.
       Sayari hii hutawala nyota ya simba au leo ni kwa watu walio zaliwa tarehe julai 23 mpaka agost 22 au watu walio zaliwa tarehe 1au 10,19au 28 ya mwezi wowotw au mtu aliye zaliwa januari mwezi wowote na watu wenye sura na maumbo ya simba au mtu mwenye mlima mkubwa chini ya kidole pete au kidole baada ya kidole kidogo au mtu mwenye alama nzuri ndani ya mlima huu. Hii zi ni sifa za watu wa sayari hii
    Pia hata mtu wa sayari nyingine hupata faida au hasara za sayari hii ikiwa sayari rafiki itakupa faida ikiwa sayari adui itakudhuru sehemu husika katika uwadui wenu.inategemea na uhusiano na sayari hii  kinyota.

                                       UHUSIANU WASAYARIHII YA JUA NA SAYARI NYINGINE
          Sun marafiki ni ; moon humpa manufaa ya utajiri capital nzuri mama  kuu imalika ktk mapenzi na      
                                   mahusiano mtu kufanya biashara ya vinywaji na chakula na hotelia nguvu au kupata m                               faida na wanawake kuwa kiongozi.
                               2;mars;ujasili mali watoto,kumiliki,nguvu, haraka kufanyikiwa kumpa bahati katika famili
                                 na ndugu na hutoa nguvu ya kuliendesha jeshi dola au famili.
                               3;jupiter;huleta amani bahati hukumu nzuri mafanikio makuhani wadini kupata na utulivu
                                   katika kazi biashara ,ndoa pia niwakati wa mafanyikio na kupata kazi.
  Sun maadui ni    1;venus kuvurugika kwa ndoa mke kuugua au wanandoa kusalitiana baba kwa na mke
                             mwingine au hawara nje sanaa kuanguka na biashara kukamwa ngono kuongezeka mke
                             kuchukiwa na ndugu na pesa kupotea.
                           2;Saturn;kuanguka kwa dola au kiongozi mkuu kufilisika kupoteza malengo yako ya
                              baadaye na kufukuzwa kazi na kudhoofu mtaji madeni pia na ahadi nyingi kushunda kut
                              imizwa.
                            3;Rahu au neptune huendeleza sumu ya sartun nahufanya dola kupinduliwa au mfalme kuf
                                au kuumwa au kutete leka au kufukuzwa kazi kukimbia kesi au kuugua akili na kufiwa
                                 na wazee hasa mama mjomba bibi au babu au baba au shangazi
 Sun katikwakati  1;Mercury huumpa nguvu naa umaarufu kufaulu eimu na busara pia humpa maradhi ya k
                              inyota. husika.kama moyo nk
                           2;Kethu au pluto humpa nguvu ujasili na maarifa ya uuongozi na utafutaji pia huumpa mpen
                              au ndoa mpya.
            
                                                   MARADHI YA SAYARI HII
Maradhi ya sayari hii ya jua ni;Moyo macho kwa wanaume mzunguko wa damu ,kamba spinal,mwili kwa ujumla kiharusi ,uso,mifupa kansa,ubongo na damu na msongo wa mawazo kuongezeka kwa dosha pita na kupungua kwa dosha vata na kapha ktk mwili wako Elimu hii ya dosha ya sayari ya jua itakuja ktk masomo mengine.
                                          Madini ya sun ni;dhahabu               
                                                      Mafusho yake ni sandarusi
                                                               Siku yake ni jumapili mchana au jumatano usiku
                                                                      Rangi yake ni kahawia,machungwa,gold
                                                                          jiwe lake ni Ruby
                                                                              Namba yake ni 1,10,19,24
                                                                             Maombi yake ni ya hayuu yaa kayum
                                                                                ktk ukristo baba yetu uliye mbinguni
                                                                                  uhindu om kreem suryae namah

                         By Sheikh Kassim shirazy








             


1 comments:

  1. Casino - Dr.MCD
    The newest addition 구리 출장안마 to the existing 서귀포 출장마사지 list of casinos available 춘천 출장샵 to you to 통영 출장안마 play in Colorado. The 이천 출장마사지 slots will soon be available on the Colorado Sports Betting market. We

    ReplyDelete